|
Article in other languages:
|
Yerusalemu (kwa Kiebrania ירושלים Yerushalayim, kwa Kiarabu: القدس al-Quds) ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni mji mkuu wa Israel. Kwa upande mwingine Yerusalemu ya mashariki inatazamiwa kuwa mji mkuu wa Palestina ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu 1967. Israel imetangaza tangu 1980 Yerusalemu yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi za dunia hazikubali azimio hili hivyo balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Yerusalemu. Yerusalemu ina historia ndefu sana. Ni mji muhimu katika dini tatu zinazofuata imani ya Abrahamu, yaani Uyahudi, Ukristo na Uislamu.
Questions for article: |
||||||||||||||||||||||||||||||
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
IHS Europe: Infrared Heating Systems for Home and Business.