|
Article in other languages:
|
Alama ya Aum ni silabi takatifu katika Uhindu
Uhindu (Kisanskrit: हिन्दू धर्म: Hindū Dharma pia सनातन धर्म Sanātana Dharma) ni kati ya dini kubwa duniani yenye asili katika Bara Hindi.
Ikiwa na wafuasi milioni 900 ni dini kubwa ya tatu baada ya Ukristo na Uislamu.
Nchi penye Wahindu
Katika nchi za India, Morisi na Nepal na kwenye kisiwa cha Bali (Indonesia) wakazi wengi hufuata aina ya Uhindu. Vikundi vikubwa wako pia:
- Bangladesh (11 millioni),
- Myanmar (7.1 millioni),
- Sri Lanka (2.5 millioni),
- Marekani (2.0 millioni)
- Pakistan (3.3 millioni),
- Afrika Kusini (1.2 millioni),
- Uingereza (1.2 millioni),
- Malaysia (1.1 millioni),
- Kanada (0.7 millioni),
- Fiji (0.5 millioni),
- Trinidad na Tobago (0.5 millioni),
- Guyana (0.4 millioni),
- Uholanzi (0.4 millioni),
- Singapur (0.3 millioni)
- Surinam (0.2 millioni).
Marejeo na viungo vya Nje
 |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhindu kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Questions for article:
|