Simu

Article on other languages:

Simu

Simu ni chombo cha umeme. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha mawasiliano. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia redio. Hii nayo inaitwa nyayatupu, siwaya au simu bila waya.

Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na Alexander Graham Bell. Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama Muuskoti. Lakini Antonio Meucci alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Simu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Simu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.