|
Article on other languages:
|
Mashariki ya Kati pamoja na Uturuki
Mashariki ya Kati ni namna ya kutaja sehemu kubwa ya Asia ya Magharibi. Kwa kawaida nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Nchi hizi zinatajwa pamoja kwa sababu zina historia ya pamoja na utamaduni ni wa karibu kati yao. Matatizo ya jina hiliJina la "Mashariki ya Kati" limesambazwa kutokana na kawaida ya Kiingereza na kutafsiriwa katika lugha mbalimbali. Lina matatizo kadhaa yanayotakiwa kujulikana hata tukiendelea kutumia jina:
kikimaanisha
Lugha mbalimbali za Ulaya Bara kama Kijerumani zinaendelea kutumia majina haya matatu vile. Pia wataalamu wa historia kwa Kiingereza hupendelea kutofautisha kati ya "Mashariki ya Karibu" na "Mashariki ya Kati". |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.