|
Article in other languages:
|
Systema Naturae ni kitabu maarufu kilichoandikwa manmo 1735 kwa Kilatini na Carl Linnaeus ni msingi wa uainishaji wa kisayansi wa mimea na wanyama hadi leo
Kilatini ni lugha ya kihistoria ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama lugha ya kwanza, lakini bado hufundishwa katika shule na vyuo na hata kutumiwa kama lugha ya pili. Kilatini ni pia jina la mwandiko au aina ya herufi (alfabeti ya Kilatini) inayotumika kwa lugha nyingi duniani. Hata Kiswahili huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa wikipedia. Kilikuwa
Hadi leo ni
Ramani ya uenezaji wa lugha za Kirumi za leo zilizotkana na Kilatini
Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya sayansi na elimu. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya kama lugha ya kigeni. Kiswahili kimerithi maneno ya asili ya Kilatini hasa kupitia Kiingereza kilichopokea karibu asilimia sitini ya maneno yake yote kutoka Kilatini kupitia hasa Kifaransa. Maneno mengine ya Kilatini yameingia Kiswahili kupitia Kireno, Kifaransa n.k. Kilatini huendelezwa na kukuzwa na wapenzi wa lugha. Kuna misamiati ya "Kilatini cha Kisasa" yenye maneno kwa ajili ya mitambo ya kisasa, mtandao n.k.. Wikipedia ya Kilatini ina makala zaidi ya 12,000. Tazama pia
[[Jamii:Lugha za Kirumi] Questions for article: |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
IHS Europe: Infrared Heating Systems for Home and Business.