Agenti (fedha)

Article on other languages:

del.icio.us del.icio.us
Digg Digg
Furl Furl
Reddit Reddit
Rojo Rojo
Add to OnlyWire
Fedha kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya pesa
Fedha

Fedha (kisayansi pia: ajenti/agenti kutoka Kilatini "argentum") ni elementi na metali yenye kifupi cha Ag na namba atomia 47 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 107.86. Ajenti huyeyuka kwa 1234,93 K (961,78 °C) na kuchemka kwa 2435 K (2162 °C).

Kiasili yatokea kama metali nyeupenyeupe na laini au kama mchanganyiko katika madini. Kati ya metali zote fedha ni wayaikaji na inapitisha vizuri umeme.

Fedha - Pesa

Huhesabiwa kati ya metali adimu na katika historia imetumiwa mara nyingi kama metali ya sarafu. Mara nyingi kwa Kiswahili neno "fedha" latumiwa sawa na "pesa" au "sarafu".

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Agenti (fedha)" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Agenti (fedha) kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.